magasi jnr
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 364
- 560
Na sisi wengine hazifunguki toka juzi usikuJamaa anakwambia UKWELI, punguza WENGE mjuba ...Mbona sisi akaunti zetu zinafunguka bila tabu yoyote
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Sio yangu tu Mkuu, baadh pia zingine hazifungukiJamaa anakwambia UKWELI, punguza WENGE mjuba ...Mbona sisi akaunti zetu zinafunguka bila tabu yoyote
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Ukibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphoneUnaandikiwa nini ukijaribu ku-login?
Toa taarifa vyema upate msaada kwa haraka!
Upo wapi? Kuna 4G huko ulipo? Mtandao kusumbua inatokeaga hasa wakati ambapo watu wengi wanaingia kwenye website husika, jaribu usiku wa mananeUkibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphone
Hii inawatokea mlio na user name za email au jina tofauti na form four index no;-Ukibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphone
Yah mkuu inakubali...Hii inawatokea mlio na user name za email au jina tofauti na form four index no;-
Kwa kukusaidia fanya ya futayo
Ukifika kwenye ukurasa OLAMS,
1. Log in kam register applicant
2. kama user name ilikuwa ni email au jina lingine tofauti na namba yako ya kidato cha nne badili na uandike namba yako ya mtihani wa kidato cha nne na mwaka wakumaliza bila kubadili password yako!!
Mfano: S2020.0004.2017
Asante, fanya hivyo unipe mrejesho!!!
Yah mkuu inakubali...
Kimetema
Mate au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimetema
Mfumo unafanya kazi vizuri tu wadogo zangu, fuata tu maelekezo nliyo yatoa hapo juu vizuri!!!Nimewajazia watu zaid ya 100 Saiv kwa kweli hazifunguki kabisa
User name ni form four index number lakini inagoma. Nini tatizo hapaMfumo unafanya kazi vizuri tu wadogo zangu, fuata tu maelekezo nliyo yatoa hapo juu vizuri!!!
Unaiandika kwa usahihi???User name ni form four index number lakini inagoma. Nini tatizo hapa
Yeah! Kuna account kama tatu hivi zote number zipo katika mfumo huo S000.0000.0000. Uki login inakuja maandishi kuwa recheck user name/Number. Wakati juzi zilikuwa zinafungukaUnainadika sa hihi?
Mfano
S2345.0003.2016 yaani ianze school namba (nukta) namba yako ya mtihani(nukta) mwaka wakumaliza
Usiweke mkwaju wala nukta mwishoni
Hiyo nukta mwishoni kama ndio unaiweka shida inaanzia hapo!Yeah! Kuna account kama tatu hivi zote number zipo katika mfumo huo S000.0000.0000. Uki login inakuja maandishi kuwa recheck user name/Number. Wakati juzi zilikuwa zinafunguka
Ndiohivyo mdogo wangu.🤪So inawezekana kwa ambazo zinafunguka tumeenda na maji 😂
Hio siiweki, hata wao wamelimit idadi ya number mwisho 15 ukitoa hiyo nukta mwishoni. Ila itakuwa good tuHiyo nukta mwishoni kama ndio unaiweka shida inaanzia hapo!