Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ukibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphone
Habari yako pia MkulungwaHABARI ZENU WAKULUNGWA
Mzigo bado hawajadrop?Habari yako pia Mkulungwa
Bado hawajatoa Mkuu, Tusubili muda usogee kidogo tuone.Mzigo bado hawajadrop?
Bado kupo vile vile kwenye accMzigo bado hawajadrop?
Nasikia kesho mkuu be docileHamna kitu
U r next ndo una maanisha nn mkuu..?Ukiingia kwa account yako una ambiwa username incorrect jua you are next .
Namba yao WhatsApp haiko online mara kwa mara..Waulizeni huko WhatsApp wanakojibu maswali