MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

Habari zenu wadau, bodi ya mikopo imesema wamefungua dirisha la marekebisho na kuanzia leo unaweza ku upload nyaraka ambazo ulishindwa ku upload kipindi kile.Ila kwenye account nikilog in nakuta habari hii.Mwenye kujua nawezaje kurekebisha naomba anisaidie.
 
Wakuuu ujue Bodi hawapo seriously kabsa kulikuwa na haja gani Sasa ya kumuandikia m2 congratulations af wanamwambia asubiri batch nyingine au hii inamaana ganiView attachment 1628958
 
Kwenye Account ya jamaa yang wamemwandikia congratulations af ukiangalia allocation wameweka hivyo
 
Naomba msaada maan nimefanya ivyo ila bdo inaniletea weup tu ndugu yang
 
MSAADA JAMANI NIMEKWAMA HAPO NASHINDWA KUPRINT PACKAGE YA FORM ZANGU ZOTE ILI NIENDE NIZITUME POSTA NIKIBONYEZA PRINT INA LOAD ................................ TU BILA MAFANIKIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…