Msaada: Nashindwa kuingia kwenye Akaunti yangu ya Instagram

hapo shida sio Instagram shida ni wewe na English ndo mnatakiwa mtatue tofauti zenu!.
mimi kukuelekeza naweza nikakutia makwenzi tu maana nina hasira za kuachwa hapa!.
ngoja waje wengine tu!
 
Shida akifungua tena ili afanye hiki ulichomuelekeza atakuta wamemletea challenge nyingine.

Suluhisho akae na mtu anayejua English atamuelekeza box za kutick.
Ndio Kinachotokea
 
hapo shida sio Instagram shida ni wewe na English ndo mnatakiwa mtatue tofauti zenu!.
mimi kukuelekeza naweza nikakutia makwenzi tu maana nina hasira za kuachwa hapa!.
ngoja waje wengine tu!
Pole sana
 
Hahahah...

Naamini huu uzi utakuwa ni kati ya zile nyuzi za kutikisa mbavu zetu kuondoa stress...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…