Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Msaada wakuu ,nimekuwa nikijiskia katili sana nikila nyama hasa za kuku najiskia vibaya sana naona mpaka huruma kumkatishia uhai wake kiumbe mwenzangu .
Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata mayai nayo najiskia vibaya kuyala naona kama nakula vifaranga yani.
Please please please msaada.
Nateseka sana.
Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata mayai nayo najiskia vibaya kuyala naona kama nakula vifaranga yani.
Please please please msaada.
Nateseka sana.