Msaada , nashindwa kula nyama ya kuku ,ng'ombe nk naona ni ukatili.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Msaada wakuu ,nimekuwa nikijiskia katili sana nikila nyama hasa za kuku najiskia vibaya sana naona mpaka huruma kumkatishia uhai wake kiumbe mwenzangu .

Hali imekuwa mbaya zaidi siku hizi hata mayai nayo najiskia vibaya kuyala naona kama nakula vifaranga yani.


Please please please msaada.

Nateseka sana.
 
yaan wewe upo km my husband ! tuafuga kuku za kienyej lakin hajawah kula hata kipande..hehehe anaona huruma eti! uwiiii navyopenda nyama [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mieee
 
Sasa hao wanyama unadhani wanafugwa kwa kazi gani.? Yan unadhani mwisho wake ni nini baada ya kuwafuga.. Anyways nadhani nyie mpo ili sisi tuwalie nyie share zenu. Nakulaga kama sina akili nzuri
 
Utakua na matatzo, unakua kama wanawake wa Dar wakiona mende Wanapiga yowe

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Sio wewe tu mimi nikimchinja kuku mwenyewe siwezi kumla ila nitamla aliye chinjwa na mwingine
Mimi nikichinja au ninaofuga siwezi kuwala but akichinja mwingine nakula vizuri sana,Ila wakati mwingine hiyo hali inanijia huwa naona ni kama nakula nyama ambayo hairuhusiwi,nikila mboga zingine zaidi ya kitoweo najisikiaga Amani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…