Msaada , nashindwa kula nyama ya kuku ,ng'ombe nk naona ni ukatili.

Sasa hao wanyama unadhani wanafugwa kwa kazi gani.? Yan unadhani mwisho wake ni nini baada ya kuwafuga.. Anyways nadhani nyie mpo ili sisi tuwalie nyie share zenu. Nakulaga kama sina akili nzuri


yaan km wehu vile
 
Kuwa kama mbuzi

ova

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
dalili za kuwa mmoja kati ya wale wanne....................
 

Anza kufuga rasta
 
Ukumbuke wameumbwa ili wawe kitoweo chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kula sas

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Basi usile na mboga za majani wala unga wali usile mkuu kwan navyo vilikuwa na uhai kabla ww kuvitumia.
 
si lazima kula kama hupondi,,unaamua tu unakua mlamboga mboga tu..(vegetarian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…