Msaada: Nasumbuliwa na michubuko kwenye ngozi ya korodani

Msaada: Nasumbuliwa na michubuko kwenye ngozi ya korodani

Joined
Jul 30, 2024
Posts
60
Reaction score
129
Habarini wanajamvi

Nimekuja hapa kuomba msaada naumwa ugonjwa wa korodani erosion ila sina hakika kama ndo huo maana nimetumia dawa lakin naona bado ni vilevile huu mwezi wa sita natumia fungbicta sioni matokeo wakuu mwenye dawa anisaidie au mawazo

kama boksa nimejitahidi kununua sasa ninanazo boxer 24 nabadilusha kila siku

Naombeni michango yenu wanajamvi

#uzi bila picha sio uzi wakuu
 
nenda hospitali uonane na specialist ili upate matibabu sahihi, usione aibu utakufa bure kwa kihoro.
 
Back
Top Bottom