Mwalimu wa field
Member
- Jul 30, 2024
- 60
- 129
Hapana mkuu nipe ushauriPicha ya tatu nikajua mtu kaweka wave.
ipi hiyo mkuuTumia ile ya kichupa inaitwaje sijui ila moto wake utaimba
Asante mkuuPole sana mkuu
Mkuu nimeenda ila sioni matokeo dawa ni zilezilehuo ugonjwa unatiba tena nadani ya siku 3 unaanza kuona matokeo nenda kituo cha afya
hutapata matibabu
Ndio mkuu mambo magumuHadi kuweka picha hizo inadhihirisha kweli maji yamekufika shingoni
Poleh sana
Shukran mkuu nitalifanyia kaziMycota powder
Utelez nimekula mkuuMiezi 6 yote hujapata utelezi? Hata selfie? Noma sana.