Aisee 🤔🤔Mguu wa kushoto ni upande wa mama...
Nitarudi...
Kunakuwa na tatizo la Mizimu au Uchawi..Unakuwaje mkuu
Sijaumia,sivuti sigara,sinywi pombe ila ni tatizo ambalo lilitokea basi nikawa nadharau sasa naona limefika pagumu.Nameza dawa leo siku ya 39 maana kila siku nameza kidonge kimoja ila bado.Kunakuwa na tatizo la Mizimu au Uchawi..
Mguu ni hatua zako..
Mguu unapouma inaonyesha kuwa Kuna kifungo Cha hatua yaani kusonga mbele kimaendeleo...
NB: Hii sio kwa kila mguu unapouma basi ni upande wa mama, ni mguu unapouma bila kuumia yaani bila kuwa na shida yeyote kiafya.
Huwezi ona ni tatizo, sababu unakuwa hujaumia hivyo unajipa moyo utapona...Sijaumia,sivuti sigara,sinywi pombe ila ni tatizo ambalo lilitokea basi nikawa nadharau sasa naona limefika pagumu.Nameza dawa leo siku ya 39 maana kila siku nameza kidonge kimoja ila bado.
Pamoja na kutafuta matibabu, fanya yafuatayo:Nasumbuliwa na miguu kuuma hasa wa kushoto, hivi karibuni nikasogea kwenye zahanati wakaniambia kwamba huo mguu hauumi isipokuwa una ganzi.
Basi wakanifungashia dawa fulani hivi za NATB, ila mguu unauma sana kwenye vidole pindi unapotembea.
Yaani kuanzia kwenye vidole hadi kwenye vigimbi wakati wa kutembea napata shida haswa.
Hivyo basi mwenye kujua, kufahamu wapi naweza pata tiba au nini cha kufanya waweza share nami.
Asanteni.
Mguu wa kulia ni upande wa baba...Babu yangu alisumbuliwa na mguu kwa miaka mingi sana. Akienda hospital hapewi majibu ya kueleweka.
Mwezi wa saba aliwekwa mguu kwenye beseni akatoka funza. Wazungu wakachukua vipimo KCMC bahati mbaya vikapotea, wakachukua vingine wakatuma Ocean Road.
Tukiwa tunasubiria majibu tarehe 8 mwezi oktoba, akafariki tarehe 3. Alikuwa akiwa na maumivu makali sana. Miaka miwili kabla ya kifo ilikuwa ni kulia na kuomboleza so sad.
Usipuuze maumivu tafuta tiba kwa gharama yeyote na mawazo ya kitaalamu
Hilo ni tatizo la mishipa ya fahamu.Sijaumia,sivuti sigara,sinywi pombe ila ni tatizo ambalo lilitokea basi nikawa nadharau sasa naona limefika pagumu.Nameza dawa leo siku ya 39 maana kila siku nameza kidonge kimoja ila bado.
Imani, hayo mafuta au maji kama huna Imani na Mungu huwezi ponaHapana siufungi,ila unachoma kwenye unyayo na hayo mafuta unasema wewe ya upako mtu kanipa wala hakuna jipya