ShukraniPamoja na kutafuta matibabu, fanya yafuatayo:
1. Acha kabisa kunywa vinywaji vyenye sukari kama vile juice, soda na bia laini
2. Acha kula wali, ugali, mikate
3. Kula vyakula vya protini kwa wingi, huko huko utapata carbohydrates za kwenye ugali na wali.
4. Kula mboga mboga
Leo nilikuwa na mzee mmoja akaniambia miaka kama7 nyuma alisumbuliwa na hili tatizo anasema kipindi yupo arusha alikwenda hospital moja anakwambia tena ndogo tu,wakamfanyia vipimo vya Culture blood sijui alitamka sawa akiwa anamaanisha kwamba walipandikiza damu baada ya siku tatu wakampa majibu ya .......!!!Hilo ni tatizo la mishipa ya fahamu.
Nenda kwenye hosipitali kubwa zenye wataalam wa fani hiyo utatibiwa na utapona kabisa.
Pole sana!
Habari!Nasumbuliwa na miguu kuuma hasa wa kushoto, hivi karibuni nikasogea kwenye zahanati wakaniambia kwamba huo mguu hauumi isipokuwa una ganzi.
Basi wakanifungashia dawa fulani hivi za NATB, ila mguu unauma sana kwenye vidole pindi unapotembea.
Yaani kuanzia kwenye vidole hadi kwenye vigimbi wakati wa kutembea napata shida haswa.
Hivyo basi mwenye kujua, kufahamu wapi naweza pata tiba au nini cha kufanya waweza share nami.
Asanteni.
Kumbe na wewe miyeyusho 😅Mguu wa kushoto ni upande wa mama...
Nitarudi...