Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la Asidi Tumboni

weteam

Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
22
Reaction score
120
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
 
Mbona ni kama vidonda vya tumbo vikiwa kwenye peak level.
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Ila naona hiyo acid imeleta unafuu sana maana bila nyege maisha yanakuwa marahisi sana, no stress za mianaume.
Kwani umeolewa?
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Kwanza angalia aina ya chakula chako ,mara nyingi ni ishara ya vidonda vya tumbo hiyo,

Tafuta majani ya mapera chemsha unywe asubuhi mchana na jioni glasi moja moja

.nb dawa za kienyeji kuwa muangalifu kuna kuua figo
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Hiyo asid ni ugonjwa wa taifa Sasa Nimetoka hospital juzi tu tumbo linajaa gas kubeua mda wote mgongo unawaka moto unaishiwa Nguvu mala mapigo ya Moyo Yan tafran doctor akasema huu ugonjwa asilimia 99.9 unawapata wanawake na 80% ni wanawake wenye Ndoa za mitara 😂😂😂
 
Kweli na mm nimeolewa mitara
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Dawa ya Kienyeji ya nini...

Tafuta daktar mzur wa magonjwa ya ndani upate dawa, lakini punguza stress..

Wacha mambo ya kuongelea vitu vya kawaida kama mapenz ukiwa unazungumzia afya yako..

Kwa kuanza kabla ya daktari fanya hivi.
1.Juice ya Bamia kila asubuhi
2.Juice ya Tango jioni..
3.Kula dawa ningeandika hapa ila mimi sina leseni.
4.Epuka vyakula visababishi au vyenye visababishi mf. nyanya
5.Acha Beer na vyakula vingine vyenye asili ya vilevi

Ila nenda hospital tafuta daktar mzuri
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Unaonaje kama ukiripoti katka kiwanda kuupunguza nakuanza kuifanyia utafiti zaidi
 
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Hebu chukua kahawa chungu unywe uone kama asidi itapungua tumboni!!
 
Back
Top Bottom