Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
ππππ Alooooh hii inchi ukipata stress umetaka lkn tunapata pressure frsh tuNdoa za mume mmoja wake wawili au zaidi.
Nashauri utumie kwa wingi sana vyakula vyenye asili ya ALKALI kama vile mboga za majani (mchicha, spinach na nyinginezo ila isiwe kisamvu), matunda kama parachichi, pera na mapapai)Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi
Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya tendo imepungua anayejua dawa ya kienyeji msaada
Ila gasππUnajamba sana,tumbo linaunguruma?