new level
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 274
- 583
Habari wadau mimi nikijana ( 26 ) nasumbuliwa na ganzi mkononi na miguuni pia sometime miguu uwaka moto na mikono pia nikienda hospital naambiwa sina tatizo nimepima kisukari , presha, vidonda vya tumbo , uric acid, na magonjwa yote yasababishayo ganzi ila naambiwa niko salama ..
Nimetumia dawa zakizungu zinazotibu ganzi ila sikupata ata nafuu nimetumia mafuta ya nazi namengineo na mizizi kibao dawa za kunywa zaku paka zakuoga na sasa adi za chale pia najaribu kula matunda maziwa nakutokula au kunywa vyakula vya viwandani ila naelekea kukata tamaa ni mwaka wa pili sasa toka nipate ilo tatizo lilianza kwenye viganja vya mkono wakulia likaamia mkono wakushoto likasambaa adi mguuni na sasa ni mikono na miguu yote miwili adi mgongoni pia..
Kinacho nishangaza show [emoji932] napiga vizuri tu siisi kizungu zungu napata apetite vizuri ila kunakipindi nakosa choo.. hii ni ganzi ya aina gani ? Sifanyi kazi ngumu sija pata ajali sa shida nini ?
Nimepoteza uwezo wakukimbia , kuandika kupitia kalamu nakuja kwenu wadau kama kuna mtu anaujuzi kuusiana na hili tatizo anisaidie naelekea kukata tamaa ya maisha tafadhalini Asante .