Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Hii ganzi yako ina tibika itakuwa ni acid zimezidi mwili Au sumu na kupelekea tatizo hiloGanzi ilianza kwenye kiganja cha mkono wa kulia
Sijawai kupima mafuta ila ni mwembamba tu wa kawaida
Ganzi kwa sasa linaendelea kwa kasi zaidi adi naogopa
Ajali sijawai kupata
Sijawai kupoteza fahamu
Nb : damu yangu hutoka kwa wingi pale ninapo jikata kibaati mbaya nakitu chenye ncha pia huwai kukauka nakidonda huai kupona haraka sana sijui kwanini
Ukinywa vinywaji kama soda coca, Pepsi una hisi ganzi kuongezeka? Au utofauti?