Habari wana jamvi,
Kama post inavyojieleza mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2015, matokeo yangu hayakuwa mazuri na siwezi kupata nafasi ya kuendelea high school maana sina credit ila nina D za kutosha kuniwezesha kusoma ngazi ya certificate.
Nimejaribu kufuatilia kidogo kozi ambazo ziko marketable kwenye soko la ajira nimeambiwa RISK au ENVIRONMENT zinalipa. Shida yangu nilikuwa naombeni mwenye kujua list vyuo vinavyotoa hizo kozi hapa Tanzania kuanzia ngazi ya certificate. Ahsanteni nawakilisha.

We elimu unalazimishia tu,yani BRN walivyofaulishwa then we bado umefeli?nenda kalime mananasi tu.