Msaada: Natafuta chuo kizuri kinachotoa kozi ya envinroment au risk

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
610
Habari wana jamvi,
Kama post inavyojieleza mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2014, matokeo yangu hayakuwa mazuri na siwezi kupata nafasi ya kuendelea high school maana sina credit ila nina D za kutosha kuniwezesha kusoma ngazi ya certificate.

Nimejaribu kufuatilia kidogo kozi ambazo ziko marketable kwenye soko la ajira nimeambiwa RISK au ENVIRONMENT zinalipa. Shida yangu nilikuwa naombeni mwenye kujua list vyuo vinavyotoa hizo kozi hapa Tanzania kuanzia ngazi ya certificate. Ahsanteni nawakilisha.
 
Yaani madent walivofaulu mwaka huu bado ww ume fail, ningekuwa mm ngejipiga kiberiti.
 
Kwani form four 2015 washafanya mtihani, au macho yangu hayaoni vizuri
 
Habari wana jamvi,
Kama post inavyojieleza mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2015, matokeo yangu hayakuwa mazuri na siwezi kupata nafasi ya kuendelea high school maana sina credit ila nina D za kutosha kuniwezesha kusoma ngazi ya certificate.

Nimejaribu kufuatilia kidogo kozi ambazo ziko marketable kwenye soko la ajira nimeambiwa RISK au ENVIRONMENT zinalipa. Shida yangu nilikuwa naombeni mwenye kujua list vyuo vinavyotoa hizo kozi hapa Tanzania kuanzia ngazi ya certificate. Ahsanteni nawakilisha.

Hapo kwenye Environment, ni kozi gani uliyoambiwa iko marketable kama unavyodai?
 
Habari wana jamvi,
Kama post inavyojieleza mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2015, matokeo yangu hayakuwa mazuri na siwezi kupata nafasi ya kuendelea high school maana sina credit ila nina D za kutosha kuniwezesha kusoma ngazi ya certificate.

Nimejaribu kufuatilia kidogo kozi ambazo ziko marketable kwenye soko la ajira nimeambiwa RISK au ENVIRONMENT zinalipa. Shida yangu nilikuwa naombeni mwenye kujua list vyuo vinavyotoa hizo kozi hapa Tanzania kuanzia ngazi ya certificate. Ahsanteni nawakilisha.

Haaaaaaa jamani kwani huu mwaka umeshafanya huo mtihani loooh au umefanya mtihani wa wiki shuleni??? Lol
 
We elimu unalazimishia tu,yani BRN walivyofaulishwa then we bado umefeli?nenda kalime mananasi tu.
 
Ninachokifaham ni MWECAU na kinatoa bachelor degree tuuu!
Nakushangaa ulikuja huku jf na ukilaza wako kufanya nin??
 
Back
Top Bottom