Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

Msaada: Natafuta Daktari nasumbuliwa na tumbo limejaa gesi

Joined
Jul 30, 2015
Posts
13
Reaction score
2
Wakristo bwana asifiwe, Waislam salam alehkum.

Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaonisaidia kimawazo na kitaalam. Ninahakika kwatatizo langu huku litapata ufumbuzi kwani kuna madaktari wenyeujuzi uliotukaka hapa Jamii forum.

Ninasumbuliwa natumbo jamani. Linajaa gesi sana na linanguruma hasa usiku. Pia linaniletea maumivu yakiuno makali. Kunamda nashindwa hata kuinama. Pia nikihisi kwenda haja choo kinakua chashida na kidogosana.

Pia huambatana na damu. Tatizo hili limesababisha hata kuishiwa hamu ya kugegeda. Hata wakati mwingine nashindwa kabisa. Kwasasa natumia dozi lakini hakuna dalili zozote zakupona. Msaada wenu kimawazo, kitaalam unahitajika wapendwa kwani nimekuwa na msongo mkali kimawazo.

Karibuni wakuu.
 
mkuu umejaribu kupima U.T.I na typhod? kama bado kapime mkuu mimi niliwah kupata tatizo kama hilo na likatibiwa na nikapona
 
Nilienda hsptal pale sahara posit namaduka yasim. Wakanipima choo, dam na mkojo. Majibu ninahoma yamatumbo, na mkojo mchafu. Ila nililipishwa garama kubwasana vipimo 39000, dawa 117000. wamenipa dawanyingi. Aina ya clarithromycin, methonichzil, domperel, na silde. Ila hakuna unafuu kabisa
 
Nawaombeni msichoke kunisaidia wakubwa haliyangu nimbaya kiafya. Hata sasiv nimetoka haja ila bado choo kinatoka na dam. Hasa ninapojikamua ndipo matone huwa mengi na maumivu yakiuno yanaongezeka wakuu
 
Nenda hospitali kubwa zaidi hizo za kibiashara wakati mwingine wanatapeli, hapo kuna uwezekano wa constipation, vidonda vya tumbo na mengine nenda kapmwe sawasawa tatizo hilo litaisha
 
Nenda hospitali kubwa zaidi hizo za kibiashara wakati mwingine wanatapeli, hapo kuna uwezekano wa constipation, vidonda vya tumbo na mengine nenda kapmwe sawasawa tatizo hilo litaisha
Hizo ni mojawapo ya dalili za vidonda vya tumbo
 
Mkuu kuna Mtu anaitwa MziziMkavu hapa jukwwani hebu jaribu kuwasiliana naye hata kwa kum PM nina imani atakusaidia na tatizo lako litaisha kabisa
 
Rudi tena hospitali kamuone daktari na ikiwezekana akufanyie x-ray kuangalia vidonda vya tumbo.

Mi mwenyewe tokea naanza kusoma hii post nilifikiri hivyohivyo gesi pamoja na damu kwenye haja kubwa vimenistua sana nina mashaka itakuwa vidonda vya tumbo.
 
Hiyo inaweza kuwa ni Ameba. Tafuta Norfloxacin Tinidazole (Conaz)
 
Tafuta hospitali wanayopima vidonda vya tumbo kama wasemavyo wadau hapo juu pia kapime amoeba kwani nao wana tabia hiyo unayozungumzia,kingine jitahidi kutumia matunda kama mapapai ni mazuri sana kwa kulainisha choo.
 
Mkuu tatizo lako limeshindkana. Hospitali karibh upatiwe tiba za mimea asilia,miziz magome ya miti ns mazao ya bahari zinaponya kuanzia chanzo cha tatizo na kubaki mzma tiba ipo iyo ni dalili ya vidonda vya tumbo jitaidi utibiwe mapema iyo kutoka kinyesi na damu ni mbaya bawasiri iyo
 
Back
Top Bottom