Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Rejea kichwa cha habari hapo juu..

Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....

Amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana, kashajaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...

Sasa kwa yeye ameona suluhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nilivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME.
Naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....

Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
 
nahisi kama sijaelewa ivi, anataka dawa,kuongeza uchumi,ushauri au vyote??
Ushauri kaisha pewa hadi na maombi juu lakini bado ....hivi sasa anaomba msaada wa kuifaham dawa ya kupunguza makali...eti
 
Nimepotea jukwaa huku[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
hili ninalo sema nina ushuhuda nalo, kuna dada/mke alimuomba mumewe aoe mke mwengine amsaidie jamaa yupo vizuri sana yeye ni mkesha tu 24/7
Yap wapo wa hivyo...ndo maana alivyonielezea nilikoswa jibu la ghafla ghafla nimemwambia asubir niulizie
 
Mwambie aoe mwanamke mwenye mhemko mkubwa wa kufanya mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…