Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Rejea kichwa cha habari hapo juu..Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana...kaisha jaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...sasa kwa yeye ameona suruhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nlivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME...naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....

Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Sasa utayakwepaje matusi hapa wakati mada yenyewe ni ya matusi.
 
Sasa hiyo ni fursa nzuri sana kwake, afungue ofisi na awe anahudumia wadada wenye pesa zao tu. Hapo atatumia sana uwezo aliojaliwa huku analipwa na pesa za kutosha na hao hao wadada. Hivyo nguvu zake zitatumika sambamba na kukua kwa uchumi wake
 
Sasa hiyo ni fursa nzuri sana kwake, afungue ofisi na awe anahudumia wadada wenye pesa zao tu. Hapo atatumia sana uwezo aliojaliwa huku analipwa na pesa za kutosha na hao hao wadada. Hivyo nguvu zake zitatumika sambamba kukua kwa uchumi wake
Teteteteee......Duuuuh ntamueleza na hilo
 
Kuna dawa inaitwa ratex.inapatikana madukani.nunua mkorogee na maji MPE anywe.ila usisahau kukaa na maziwa karibu.all the best
 
Mwambie atumie cimetidine 400mg kila baada ya masaa 12 kila siku kwa mwezi mzima
 
Kuna dawa inaitwa ratex.inapatikana madukani.nunua mkorogee na maji MPE anywe.ila usisahau kukaa na maziwa karibu.all the best
Ratex???... maziwa na dozi wapi na wapi...ila hiyo dawa??? ..hebu ngoja niulizie
 
Back
Top Bottom