hilo tatizo mimi limenikuta sio mda mrefu sana
nikaja hapa nikaomba ushauri..
japo mimi lilinikuta kama week4 hivi..
na sikufanya ngono ,nilikua naweweseka tu
nikona mwanaume nashtuka, halafu hio hali wanaosema akakope bank then awe na deni hamuijui..
hio hali ukiipata hata mtu akikukata na chupa hujisikii..
yani ni mhemko wa ajabu kabisa.
walinishauri hapa kuwa ni mindset desease...nikajitahidi sana kutokuwazia na maombi
week4 nmepata shida sana sitasahau..
mpaka sasa nmekua kawaida,ni tatizo tu la kisaikolojia kwakweli
ambalo anajiona kwamba bila sex haishi,halafu kashalifanya muda mrefu sana itabidi apate washauri kwakweli maana hilo tatizo ukilipata unaiona dunia chungu maana huna amani ,unatamani hata ukate na kiungo chenyewe!
sasa tatizo linakuja kuondoa ile hali kichwani mwako, hapo ndipo pabaya
pole yake sana! hayo ni matatizo ya saikolojia tu ,kwa mtazamo wangu