Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Angalau paketi tatu za sigara aina ya Marlboro original asmoke kwa siku kwa muda wa wiki then aje kutuletea feedback hapa
 
Duuuh..hiyo haileti Lung cancer.???..maana navyofahamu hiyo kitu ina ONYO::....ila nitamueleza...
 
anunue daladala mbovu au akakope bank atakua tayar kapunguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa tu
Mkuu nitake radhi nilikopa bank hata hamu ya papuchi sina kila siku nawaza tarehe ya rejesho
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu..

Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....

Amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana, kashajaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...

Sasa kwa yeye ameona suluhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nilivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME.
Naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....

Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Tunasemaga hayo ni mapepo na mwili kuitawala nafsi
 
Kama hana mke aoe napia kama muislamu hal ya maisha nzur aoe wake 4 kabisaa hapo aaah
 
Sema ni mkristo ila nina muda sasa simuon church...kwa dini yetu mke mmoja sidhan kama watawezana..maana nilijarbu kumwambia aoe akanjibu hivyo
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu..

Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....

Amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana, kashajaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...

Sasa kwa yeye ameona suluhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nilivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME.
Naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....

Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Mi naona hana majukumu huyo, hebu aanze kujipa majukumu, awajibike, ameridhika na maisha yake linaweza kuwa ndio tatizo....

Aongeze muda wa kufanya kazi, ajiwekee malengo, atawaza wala hawezi kupata shida.....
 
Labda licha ya kuwa anakazi na huwa anatoka jion sana ...
 
Back
Top Bottom