Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Msaada: Natafuta dawa ya kupunguza nguvu za kiume

Funga kulax2kwa wiki Fanya mazoezi magumu na mepesi kula unaposikia njaa usijaze tumbo chakula acha nafasi ya hewa na maji fanya usafi wamwili (body cleasing)
 
Sa wanawake saba kwa wiki wte hao anawapata wapi
Duuh jamaa anahonga huyo....ukisikia hadi uchumi umeyumba na anakazi nzuri ya kumuingizia kipato ujue si nadra...yeye hata vyura wa barabaran anakomba tu
 
Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
wanawake wa jamii forum vichaaaaa nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wanawake wa jamii forum vichaaaaa nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaah acha tu huyo anavtuko ile mbaya mbovu
 
anunue daladala mbovu au akakope bank atakua tayar kapunguza nguvu za kiume kwa asilimia kubwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hilo tatizo mimi limenikuta sio mda mrefu sana
nikaja hapa nikaomba ushauri..
japo mimi lilinikuta kama week4 hivi..
na sikufanya ngono ,nilikua naweweseka tu
nikona mwanaume nashtuka, halafu hio hali wanaosema akakope bank then awe na deni hamuijui..
hio hali ukiipata hata mtu akikukata na chupa hujisikii..
yani ni mhemko wa ajabu kabisa.
walinishauri hapa kuwa ni mindset desease...nikajitahidi sana kutokuwazia na maombi
week4 nmepata shida sana sitasahau..
mpaka sasa nmekua kawaida,ni tatizo tu la kisaikolojia kwakweli
ambalo anajiona kwamba bila sex haishi,halafu kashalifanya muda mrefu sana itabidi apate washauri kwakweli maana hilo tatizo ukilipata unaiona dunia chungu maana huna amani ,unatamani hata ukate na kiungo chenyewe!
sasa tatizo linakuja kuondoa ile hali kichwani mwako, hapo ndipo pabaya
pole yake sana! hayo ni matatizo ya saikolojia tu ,kwa mtazamo wangu
 
Kwahiyo akakope bank???..Duuuh si ndo atahonga mpaka basi...
 
asikope
akakutane na watu wa saikolojia
maana ni tatizo hata mimi limenikuta ¼ yake ..
nahisi ana hali mbaya mno
maana nguvu ya ngono inazidi mipangilio ya ubongo
Yap wazo zuri tena nadhani kungekuwa na Rehab za hayo mambo angeenda kabisa...
 
hajachelewa huyoo awe mteja wa poda hizo hisia zote xitamwisha
 
Back
Top Bottom