Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh. Miss natafuta Leo kapatampe namba yangu nimuombee
Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
Sasa utayakwepaje matusi hapa wakati mada yenyewe ni ya matusi.Rejea kichwa cha habari hapo juu..Nina rafiki yangu amekuja hapa home kuniomba ushauri kwamba kuanzia abalehe almost (miaka 10) imepita amekuwa na tamaa na wanawake wazuri wote anatamani wawe wake...wengi wao ameisha tembea nao (kuwala papuchi) na tena hadi wake za watu yaani kwa wiki anaweza kula hadi papuchi saba hadi kumi bila kuchoka....amesema hii imepelekea uchumi wake kuyumba sana...kaisha jaribu kwenda hadi kwenye maombi ila bado tu anapoona mrembo (haswa wale Chura maji) moyo unamlipuka...sasa kwa yeye ameona suruhisho ni kuzipunguza hizo nguvu za kiume kama siyo kuzimaliza ili walau ajiendeleze kimaisha......kama nlivyosema ANATAFUTA DAWA YA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME...naomba ushauri jamani maana atamm siifaham....
Please......CHUNGA LUGHA ZA MATUSI....
Teteteteee......Duuuuh ntamueleza na hiloSasa hiyo ni fursa nzuri sana kwake, afungue ofisi na awe anahudumia wadada wenye pesa zao tu. Hapo atatumia sana uwezo aliojaliwa huku analipwa na pesa za kutosha na hao hao wadada. Hivyo nguvu zake zitatumika sambamba kukua kwa uchumi wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unataka kuitumia nn siku za Mbele?Huyo rafiki ako ni hazina....atunzwe.
Sindo anachotakaaaaa wenzie tunazinunua hizo nguvu yeye anataka kuzipotezaHeeeeeeeh sasa hiyo si itamfanya akose kabisa nguvu za kwenda kazini.!!!!!