Ballack-13
Member
- Jul 8, 2018
- 63
- 82
Ukimimina hii kitu yanakauka mkuu?Ungeuliza za kiafrika ningekupa hata moja ya kununua hapo sokoni tu, kisha unamimina kwenye shimo, maji yananywea na kubaki mzigo tu.
(Chumvi ya mawe)😃
Ngoja nikiangalie shukurani mkuuKuna vingine hujaa kipindi cha mvya nyingi( masika) , na maji hupungua kipindi cha jua kali( kiangazi) kama ni aina hiyo ya choo kiache tu yatakauka yenyewe.
NdiyoUkimimina hii kitu yanakauka mkuu?
Wabongo bana. Wewe ulisikia kuna dawa za kichina? Umejenga choo kwenye chemchem hakuna dawa itasaidia hapo.Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.
Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Mkuu ulifanikiwa?Mwenyewe katika kucheka kwanu nimekutana na wadau wanauza lakini ni kwa KENYA. Mfano hiz hapa . Ila bado sijajua bongo wap zinaweza patikana za kufanana.Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.
Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.