Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

Msaada: Natafuta dawa za Kichina kwaajili ya kushusha maji kwenye shimo la choo linalojaa haraka

Shimo la choo hujaa kutokana na

1.) Water table - kama ‘water table’ ipo juu, choo hata kama hakitumiki kinajaa chenyewe. Hata unyonye mara 200, kinajaa tena siku hiyo huyo. Dawa ni kuinua level ya ardhi. (So expensive).

2.) Soil permeability - kama udongo hauna uwezo wa wa kufyonza maji, badi itakuwa ni kama tank tu la maji, na itajaa haraka, dawa ni kuweka bomba toka hapo hadi kwenye ‘permeable soak field’.

Hakuna dawa ya kichina, ni utapeli.
 
Kuna vingine hujaa kipindi cha mvya nyingi( masika) , na maji hupungua kipindi cha jua kali( kiangazi) kama ni aina hiyo ya choo kiache tu yatakauka yenyewe.
Ngoja nikiangalie shukurani mkuu
 
Vipimo vikoje mkuu na inachukua muda .gani chumvi mawe kukausha maji
 
Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.

Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Wabongo bana. Wewe ulisikia kuna dawa za kichina? Umejenga choo kwenye chemchem hakuna dawa itasaidia hapo.

Labda fanya maombi.
 
Habari Wakuu, natumai mnaendeea vizuri.

Msaada tutani kwa mwenye kufahamu dawa za Kichina zinasaidia kushusha maji kwenye shimo la choo kinachojaa haraka.
Mkuu ulifanikiwa?Mwenyewe katika kucheka kwanu nimekutana na wadau wanauza lakini ni kwa KENYA. Mfano hiz hapa . Ila bado sijajua bongo wap zinaweza patikana za kufanana.
 

Attachments

  • Screenshot_20250307_060225_TikTok.jpg
    Screenshot_20250307_060225_TikTok.jpg
    236.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250307_060218_TikTok.jpg
    Screenshot_20250307_060218_TikTok.jpg
    230.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250307_060210_TikTok.jpg
    Screenshot_20250307_060210_TikTok.jpg
    220.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom