Habarii Wanajf, Mimi ni Mhitimu wa level 3 VETA mwaka 2023.
Naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia nikapata kazi inayoendana na fani yangu hapo juu!!!
Nipo tayarii kufanya Kazi sehemu yeyote ndani ya Tanzania.
Nb: Naweza kazi na nina uzoefu wa kutoshaa!!!