GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF.
Naweza kufanya member authorization.
Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika.
Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF.
Nina ujuzi wa kutumia computer.
Sikusoma kozi ya Afya ila hii kazi nimeifanya kwa miaka miwili...kutumia ujuzi wa computer tu na Elimu ya kidato cha nne.
Naomba msaada wadau wa humu napatikana mkoa wa Mwanza kwa sasa.