usilie sasa subiri wanakuja kukusaidiaSisi sote ni ndugu mojaa.
Ndio wote dugu moya..., lakini tatizo dugu nyingi zimekaa kitaa na zenyewe hazina fursa....Sisi sote ni ndugu mojaa.
Mimi nilifanya kazi kwenye kituo kinachotoa huduma za NHIF...sijawahi kufanya Bima zingine ila nikipewa maelekezo napiga kazi mkuu..Why NHIF Pekee
Kwanini usiseme tu unatafuta kazi ya Data Clerk ?
Au umesikia NHIF wanataka watu au kwanini hapo na si pengine ?
Kujaza kwenye vituo vya afya....nilifanya kwenye kituo kinachotoa huduma za NHIF tu..hakukuwa na Bima zingine...ila nikipewa maelekezo napiga kazi...nimeifanya ile system ya NHIF portal....niunganishe mkuu.Unatafuta kazi za kujaza NHIF kwenye vituo vya Afya au huko NHIF kwenye?