Goldenboy24
Member
- Aug 11, 2021
- 29
- 5
Nimekutumia Pm mkuu asanteweka mawasiliano
Vipi kwa waliosomea certificate ya uongozi na usimamizi pia??Kaombe kazi kama medical attendant hospitalini utapata tena kwa asilimia 100...matajiri uchwara wengi wanapendelea kuwaajiri medical attendants kwa sababu huwa hawaitaji mishahara mikubwa....
Omba ajira za utendaji wa vijiji....lakini pia usisite kuomba ajira zinazohusiana na masoko hasa kwenye makampuni..mtu aliesomea uongozi na usimamizi anaweza pia kusimamia biashara au kutafuta masoko ya biashara husikaVipi kwa waliosomea certificate ya uongozi na usimamizi pia??
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu tatizo hata kupatikana kwake ningumu yani kwa hizo kaziOmba ajira za utendaji wa vijiji....lakini pia usisite kuomba ajira zinazohusiana na masoko hasa kwenye makampuni..mtu aliesomea uongozi na usimamizi anaweza pia kusimamia biashara au kutafuta masoko ya biashara husika
Omba ajira za utendaji wa vijiji....lakini pia usisite kuomba ajira zinazohusiana na masoko hasa kwenye makampuni..mtu aliesomea uongozi na usimamizi anaweza pia kusimamia biashara au kutafuta masoko ya biashara husika
Mbona nyingi sana hasa za masokoSawa mkuu tatizo hata kupatikana kwake ningumu yani kwa hizo kazi
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app