Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

EP MEDICS COSMETICS STORE

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
2,826
Reaction score
4,593
Habari ndugu zangu.

Mimi ni kijana wa kiume

Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics.

Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya.

Ninaweza kufanya masuala yahusiyo taaluma yangu mathematics na statistics. pia kibarua au kazi yeyote halali nje ya taaluma yangu nafanya.
 
Back
Top Bottom