N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 494 Reaction score 1,656 Dec 16, 2024 #1 Habari wakuu Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar. Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
Habari wakuu Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka Masasi kwenda Dar. Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha, anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma.
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 Dec 16, 2024 #2 neno ni upanga said: Habari wakuu?? Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka masasi kwenda dar! Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma Click to expand... Nende Temeke Sudan au Jangwani. Kuna huyu jamaa pia nilishawahi safirisha mzigo wa mtu kwenda Kusini, sina hakika kama bado yupo. Mpigie Kipama Transporter 0657 97 93 70
neno ni upanga said: Habari wakuu?? Naomba msaada wa lori linalosafirisha mizigo kutoka masasi kwenda dar! Nina mizigo ninahama nahitaji kuisafirisha anayejua hayo malori naomba msaada kwa sasa mimi nipo Dodoma Click to expand... Nende Temeke Sudan au Jangwani. Kuna huyu jamaa pia nilishawahi safirisha mzigo wa mtu kwenda Kusini, sina hakika kama bado yupo. Mpigie Kipama Transporter 0657 97 93 70
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Dec 16, 2024 #3 Msaada wa kupata gari au msaada wa kusafirishiwa mizigo?
N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 494 Reaction score 1,656 Dec 16, 2024 Thread starter #4 Donnie Charlie said: Msaada wa kupata gari au msaada wa kusafirishiwa mizigo? Click to expand... Kusafirishiwa mizigo
Donnie Charlie said: Msaada wa kupata gari au msaada wa kusafirishiwa mizigo? Click to expand... Kusafirishiwa mizigo