Msaada: Natafuta mafuta ya nywele meusi kama kiwi. Siyajui jina lake

DaxdeLight

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
10
Reaction score
7
Naombeni kuuliza.

Kuna mafuta ya nywele ni meusi kama kiwi, ukiyapaka nywele zinakolea weusi, na ukiziosha zinarudi kwenye hali yake. Yanaitwaje hayo mafuta?
 
Kuna mafuta natumia Nilinunua walikua wanatembeza ya nywele.Jamani ni meusi nywele zinakuwa nyeusi balaa, ila Sasa ukipaka mengi kwenye nywele makochi yanachafuka, mito na mashuka.

Ila nywele haziwashi kabisa Ila ukipaka mengi madoa yakiingia kwenye nguo hayatoki
 
Nina shida na nywele zangu kuonekana kama nina mvi au vumbi jeupe kutokana na kuogea maji chumvi, vipi hayo mafuta yanasaidia kwenye hili tatizo?
 
Nina shida na nywele zangu kuonekana kama nina mvi au vumbi jeupe kutokana na kuogea maji chumvi, vipi hayo mafuta yanasaidia kwenye hili tatizo?
Hayo mafuta yanafanya nywele zinakuwa nyeusi Sana. Ila changamoto yake nishaieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…