Msaada: Natafuta mafuta ya nywele meusi kama kiwi. Siyajui jina lake

Msaada: Natafuta mafuta ya nywele meusi kama kiwi. Siyajui jina lake

Kuna mafuta natumia Nilinunua walikua wanatembeza ya nywele.Jamani ni meusi nywele zinakuwa nyeusi balaa, ila Sasa ukipaka mengi kwenye nywele makochi yanachafuka, mito na mashuka.

Ila nywele haziwashi kabisa Ila ukipaka mengi madoa yakiingia kwenye nguo hayatoki
Kama uko nyumbani unavaa cape
 
Kuna mafuta natumia Nilinunua walikua wanatembeza ya nywele.Jamani ni meusi nywele zinakuwa nyeusi balaa, ila Sasa ukipaka mengi kwenye nywele makochi yanachafuka, mito na mashuka.

Ila nywele haziwashi kabisa Ila ukipaka mengi madoa yakiingia kwenye nguo hayatoki
Mafuta Yenye Changamoto Tena Unapendezesha Nywele
Tatizo Linakuja Makochi, Mashuka, Mito Ya Kulalia
😁😂 Hayafai Ongea Majani Ya Mpapai 🙄😏😏😐🙄
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Sina uchokozi wowote ule ni namna binadamu anavyokutana na mazingira mengine.

Huku salama kabisa tunatafuta kikombe hata kimoja msimu huu Epl , FA or Europa.

Tunakimbiza mwizi kimya kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mchokozi kichwa

Salama kabisa,huko spurs hawajambo?tangu utuhame man u hatukuon kabisa
 
Back
Top Bottom