Kipenseli
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 825
- 1,074
Habari za kwenu wakuu? husika na kichwa cha chapisho hapo juu...Ni kwamba nahitaji body spray au perfume yenye sifa zifuatazo;-
1.Manukato ya chocolate
2.Bei ya kawaida (Affordable Price)
3.Iwe rahisi kuipata (niko Dar)
4.Unaweza kuweka majina ya hizo perfume au body spray hapo chini [emoji116]
1.Manukato ya chocolate
2.Bei ya kawaida (Affordable Price)
3.Iwe rahisi kuipata (niko Dar)
4.Unaweza kuweka majina ya hizo perfume au body spray hapo chini [emoji116]