MSAADA: Natafuta majina ya Perfume au Body Spray ya bei rahisi yenye manukato ya Chocolate (Chocolate Scented)...

mi natafuta jina la ile pafum ya pale mliman city wengi wanapenda kuiweka kwenye magari . yaani ile ata km huna hela mfukoni ukiisikia tu unajfeel bonge la boss
 
Ipi Mkuu Ama Initial
 
sijafanikiwa kuiona ila inanichanganya sana pale mlimani city
 
Mbona imekaa kama mashine mkuu
Umejifurahisha kusema!

Hakuna mashine "kabila hiyo".

Yaani anzie pakubwa, katikati ikonde, halafu ije inenepe mwishoni, itafanyaje kazi sasa?

Ukitaka kuchora kikaragosi cha mashine, chora picha ya mkuki inatosha, siyo kulinganisha hiyo picha ya chupa na vitu vya ajabu!
 
Back
Top Bottom