S Suki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 373 Reaction score 16 Sep 26, 2011 #1 Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM.
Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM.
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Sep 26, 2011 #2 Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida? Suki said: Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM. Click to expand...
Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida? Suki said: Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa. Shamba liko nje kidogo ya DSM. Click to expand...
S Suki JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 373 Reaction score 16 Sep 27, 2011 Thread starter #3 M-pesa said: Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida? Click to expand... Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta.
M-pesa said: Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida? Click to expand... Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta.
M-pesa JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 602 Reaction score 152 Sep 27, 2011 #4 Mmmh hiyo mkuu ni mpaka labda uwaone SUA. Ila kwa maoni yangu naona itakuwa ngumu sana kuwapata, hasa ukizingatia ya kwamba wafugaji wa farasi si wengi kwa Tanzania yetu. Suki said: Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta. Click to expand...
Mmmh hiyo mkuu ni mpaka labda uwaone SUA. Ila kwa maoni yangu naona itakuwa ngumu sana kuwapata, hasa ukizingatia ya kwamba wafugaji wa farasi si wengi kwa Tanzania yetu. Suki said: Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta. Click to expand...