Msaada: Natafuta mules wa kilimo

Msaada: Natafuta mules wa kilimo

Suki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Posts
373
Reaction score
16
Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa.
Shamba liko nje kidogo ya DSM.
 
Mules = Donkey + Horse ????? ndo huyo unayetafuta ? au punda kihongwe wa kawaida?

Nahitaji wawili tu, kama kuna anaejua breeders au wauzaji wa mules, naomba taarifa.
Shamba liko nje kidogo ya DSM.
 
Mmmh hiyo mkuu ni mpaka labda uwaone SUA. Ila kwa maoni yangu naona itakuwa ngumu sana kuwapata, hasa ukizingatia ya kwamba wafugaji wa farasi si wengi kwa Tanzania yetu.

Punda hapana, mules (donkey + horse) ndio ninaowatafuta.
 
Back
Top Bottom