Hapa ni mtu anahitaji papers tu hahitaji maneno yako ya taka kutoka kwenye mdomo wako ulio na taka
Natafuta past papers za EGM za national exams. Msaadaa za kidato cha sita.
ndio maana mnafeli,tafuta future papers
Combination ya egm kuna economics,geography na mathemathematics