Msaada Natafuta past papers za EGM za national exams

Msaada Natafuta past papers za EGM za national exams

Hamnazo nina maana anayeitwa ndebile
 
jamani msitukanane, nadhani mleta mada hukufunguka vzr toka mwanzo, nenda shule iliyo karibu ya A-level muone mwalimu wa taaluma jieleze atakusaidia
 
Hapa ni mtu anahitaji papers tu hahitaji maneno yako ya taka kutoka kwenye mdomo wako ulio na taka

Kwa nini mkiambiwa ukweli Hamtaki? Kama kuna kitu kinatufanya watanzania tusiwe wabunifu ni huu ujinga wa kukariri! Soma uelewe , utaweza kujibu swali lolote. Ndio maana tuna madktari wanaooperate kichwa badala ya mguu. Huwezi kuwa competetive kwa kukariri .dunia ya sasa inataka innovative people !
 
Ni kweli lakini unakwenda nje ya mada.hapa mtu anahitaji past papers na sio kitu kingine.haombwi mtu ushauri kuhusu hzo papers.
 
wee kilaza kwel.
Katafute review za nectar for all ur subjects..
Hivi unategemea division gan necta??
Na utasoma corse gan,??
Jitahidi kutumia bongo yako
 
Ok ngoja nitafute option ya kufuta hii thread ili baadhi ya watu wanenepe.
 
Natafuta past papers za EGM za national exams. Msaadaa za kidato cha sita.

Dogo (samahani kama wewe ni mkubwa kwangu), achana na hayo mambo. Kutafuta unachokitafuta kunamaanisha wewe kutafuta mteremko ili ushinde mitihani. Unaweza kushinda kwa namna unayotaka ila itakunyima confidence! Tumia vitabu na resources nyingine (internet ikiwemo) maana ukisoma kufuatana na syllabus hata walete maswali gani utayapiga tu.
 
kwani chalii yang hiyo shule unayosoma haina pastpepa ?kama vipi nunua review kama unataka umeze majibu
.
 
we mtoto una matatizo tena makubwa, p.papers zipo nyingi sn huko mtaani ila ww unakuja jf, pili majibu yako ni yaovyo sn
 
Mimi nishapita hzo level tokea mwaka 2004 nadhani ungeacha kunishauri.kifupi kuna mzee anatafuta kwa ajili ya mtoto wake nikamwambia ngoja nimsaidie kutafuta.nadhani sihitaji ushauri.na nilisema tayari amepata nadhani mngeshughulikia mambo ya msingi ya familia zenu.
 
Pumbavu wewe ni mtoto mdogo kwangu chunga mdomo wako.dogo dogo umejuaje kama mim dogo.pumbav
 
Kama unazo future papers nazo naweza kuhitaji.ziweke tu.
 
Nitamshauri anayehitaji aende.yupo dsm.
 
Sitegemei div yoyote level za kuhesabu kufaulu kwa div nilimaliza zamani sana.huyu anayehitaji anahtj msaada wa wapi atazipata wala hahitaji kingne.kwa sasa ungeacha tu maana kashaacha.ungeshughulikia thread nyngne tu
 
Haya nitamshauri afanye hvyo.ila shuleni yao ni kijijini sana hana namna ya kuzipata-na materials nyngne kwa ujumla
 
Ok nadhani yeye hahitaji hayo yote anahitaji namna ya kuzipata ndebile ni mtu aliyekosa ya kufanya akaajiriwa fb na pengne.vitabu anavyo anahtj papers
 
Back
Top Bottom