Msaada: Natafuta Sera

Msaada: Natafuta Sera

msugupendigwite

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
137
Reaction score
26
wana jukwaa kwa yeyote mwenye sera ya maendeleo ya mtoto (Child Development Policy) ya mwaka 2008 aiatach humu jukwaani, nimetafuta hard copy hazpatkan! nataka kuitumia kama rejeo kwenye utafiti wangu!
 
fanya hivi..nenda www.google.com/child development policy 2008.pdf download then itupie kwenye flash nenda stationary print mzigo huo...kama still unataka hard copy....
 
Back
Top Bottom