Msaada, natafuta soko la Rosela

Son of a Pagan

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
359
Reaction score
542
Habarini wana jamvi,

Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji.

Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia.

Nitasoma replies pia. Naombeni mnisaidie kwa hilo.

Natanguliza shukrani wakuu.

Attachments

  • 1591949606314.png
    793.6 KB · Views: 7
Habarini wana jamvi,

Kama kichwa kinavyosomeka. Mimi nipo Geita na nina takribani gunia nne za hilo zao na bado naendelea na uvunaji.

Natafuta mtu anayehitaji hii bidhaa nimuuzie. Nikipata maelekezo pia kuhusu mahali ambapo naweza kuuzia itakuwa ni vema pia.

Nitasoma replies pia. Naombeni mnisaidie kwa hilo.

NB: Rosela imeshavunwa, kubanguliwa na kukaushwa.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…