Kuna hospitali ipo magomen mwembechai inaitwa EKENYWA hao jamaa wapo vizur sana kwa hayo magonjwaNdugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Ninajua dawa ya sikio kwa kutumia mmea, siku mbili tu umepona kabisa, huo usaa na maumivu yote itabaki historia.Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Gharama zimesimama kidogo coz wanatumia vifaa vya kisasaMkuu gharama zao zikoje
Tumia maji maji ya majani ya bangi weka sikio linalouma utapona faster.Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Bima wanatumia?Kuna hospitali ipo magomen mwembechai inaitwa EKENYWA hao jamaa wapo vizur sana kwa hayo magonjwa
wanatumia AAR, Jubilee, Tanesco, na Strategy kama cjakoseaBima wanatumia?
Yah upo sahihi kabisa,bt pale ndo kiboko ya masikio,pua na koo na magonjwa ya ngoziwanatumia AAR, Jubilee, Tanesco, na Strategy kama cjakosea
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
ekenywa bwana walinifanyia usaniii test ya aleji 30,000/= halafu unakatazwa kula aina kibao za menu,Hapo ekenywa nilienda kupima masikio huduma zao mpaka unaridhika yaani unaliona sikio mpaka ndani consultation fees ni 20000/= na baada ya hapo inategemea na matibabu mengine ila mkuu hautajuta nenda kakutane na daktari Emmanuel ole lengine
A professional
WAPO TENA WENGI USIPOTOSHE! EAR,NOSE and THROAT SPECIALISTS NI AKINA NANI?Hakunaga specialist wa masikio nenda kamuone general MD atakusaidia
wasanii hao hakuna masters specific miaka kadhaa kwa sikio tu ,WAPO TENA WENGI USIPOTOSHE! EAR,NOSE and THROAT SPECIALISTS NI AKINA NANI?
dentist ndio anaweza kukusaidia coz wanakomaa miaka yote wana deal na kichwa tuWAPO TENA WENGI USIPOTOSHE! EAR,NOSE and THROAT SPECIALISTS NI AKINA NANI?