Msaada: Natafuta specialist wa masikio

Msaada: Natafuta specialist wa masikio

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
393
Reaction score
343
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
 
Kuna hospitali ipo magomen mwembechai inaitwa EKENYWA hao jamaa wapo vizur sana kwa hayo magonjwa
 
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Ninajua dawa ya sikio kwa kutumia mmea, siku mbili tu umepona kabisa, huo usaa na maumivu yote itabaki historia.
 
Hujasema uko wapi. Utasaidiweje?

Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
 
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
Tumia maji maji ya majani ya bangi weka sikio linalouma utapona faster.
 
Tumia mafuta ya kuku wa kienyeji sikio litatulia na kipona kabsa, mimi ni mshuhuda wa hilo coz nimepona kwa hayo mafuta, pia kuwa na imani ya kupona usiwe mtu wa kujaribu, ukiamini juu ya hilo utapona.
 
Hapo ekenywa nilienda kupima masikio huduma zao mpaka unaridhika yaani unaliona sikio mpaka ndani consultation fees ni 20000/= na baada ya hapo inategemea na matibabu mengine ila mkuu hautajuta nenda kakutane na daktari Emmanuel ole lengine
A professional
 
UPO WAPI?
Ndugu wanajf nimekua nikisumbuliwa kwa Siku kadhaa na sikio ambalo limevimba , linatoa maji kama usaha yenye kunuka n likiambatana na maumivu makali naomba msaada anayejua walipo ma specialist wazuri na gharama ikiwezekana
 
Hakunaga specialist wa masikio nenda kamuone general MD atakusaidia
 
Hapo ekenywa nilienda kupima masikio huduma zao mpaka unaridhika yaani unaliona sikio mpaka ndani consultation fees ni 20000/= na baada ya hapo inategemea na matibabu mengine ila mkuu hautajuta nenda kakutane na daktari Emmanuel ole lengine
A professional
ekenywa bwana walinifanyia usaniii test ya aleji 30,000/= halafu unakatazwa kula aina kibao za menu,

mimi masharti yakawa magumu saizi nimepona bila dawa

sasa hawa jamaa sina imani nao tenaaaaaaa
 
Back
Top Bottom