Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,025
Reaction score
2,261
Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja anawaza biashara zake.

Binafsi ninapenda kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao maeneo haya;

1. Buchosa, Mkoani Mwanza
2. Njombe, Mkoani Njombe

Ninaomba mzoefu wa kilimo hiki na jinsi itakavyonilipa ndani ya 15 to 20 years
 
Mkuu karibu nikupatie technical consultancy kuanzia

1. Upimaji wa udongo kwa ajili ya species mbalimbali
2. Sehemu sahihi ya kupata mbegu na namba ya kuziandaa kitaalam
3. Namna ya kuanda shamba kwa upandaji wa miche
4. Kuitunza na kuhudumia miti ikiwa shambani
5. Utambuzi na uthibiti wa magonjwa ya miti
6. Kuepuka madhara ya moto, n.k
 
Boss hiyo kitu ni nzuri sana Mimi sio mzoefu wa hiki kilimo ila nakifahamu mana najihusisha na biashara ya Mbao karibu kwa Mawasiliano nipo Makambako 0737263867
 
Mkuu karibu nikupatie technical consultancy
Kuanzia
1. Upimaji wa udongo kwa ajili ya species mbalimbali
2. Sehemu sahihi ya kupata mbegu na namba ya kuziandaa kitaalam
3. Namna ya kuanda shamba kwa upandaji wa miche
4. Kuitunza na kuhudumia miti ikiwa shambani
5. Utambuzi na uthibiti wa magonjwa ya miti
6. Kuepuka madhara ya moto, n.k
Hii ni technical analysis, toa bussiness analysis ya kila eka faida ni kiasi gani ili mtu ashawike kuwekeza akufuate kwa hizo technical analysis.
 
Ndgu mm hii biashara nilifanya tangu mwaka 2011 nilipanda JUMLA ya Miche 800 iv na mpka sasa hiyo miti una umri wa miaka 11 ivi lakini mpka sasa sijapata mteja wa kuinunua akanipa pesa
 
Ulipanda Njombe au? Kama ni huko wewe ni muongo
 
sio uongo, naweza mtetea hapo ni wengi wana miti maeneo hayo issue inakuja mteja hafiki bei unayomtajia.
labda aseme hivyo bei ila kusema kwamba hayupo kabisa wakukunua na mpinga kwa sababu tangu mwaka Jana uvunaji wa mbao umeongezeka kwa kasi ya ajabu
 
Wabena ni wachomaji waziri wa moto, tegemea kuunguza hekta kazaa, hata uweke fireline moto unatabia ya kuruka juu.
Sijahadithiwa nimeshuhudia na sina hamu. Nenda kapande mitiki au miti mingine au kapande milingoti pwani sio njombe utafilisika nakwambia. Ikifika mwezi wa 9 -11 presha juu.
Watakudanganya danganya hapa ila risk ya moto ni 90%.
 
Ndgu mm hii biashara nilifanya tangu mwaka 2011 nilipanda JUMLA ya Miche 800 iv na mpka sasa hiyo miti una umri wa miaka 11 ivi lakini mpka sasa sijapata mteja wa kuinunua akanipa pesa
Hiyo miti ipo maeneo gani Bosi wateja mbona wakutosha tu.
 
Karibu Nehemia One Pvt Co Ltd. Kampuni yenye wataalamu wenye uzoefu wa masoko na uzalishaji wa mazao ya kilimo.

Kampuni inapenda kukukaribisha kwenye fursa ya uzalishaji wa MDALASINI tunazalisha miche ya mdalasini na kuhamasisha watu kupanda zao hili kwasababu tunafahamu soko lake jinsi lilivo kubwa na linazidi kukua Kwa kasi. Ni zao lenye matumizi mengi hasa kama kiungo kwenye Aina mbalimbali za vyakula. Jambo jema ni kuwa soko lake ni kubwa mnoo katika nchi zote duniani lakini uzalishaji wake ni mdogo mno!

MASOKO NA UHITAJI

Kwa mujibu wa taaasisi ya utafiti ya persistance market research, thamani ya soko la MDALASINI duniani itafikia Dola za kimarekani bilioni 1.15 mwaka 2030. Matumizi kwenye viwanda vya dawa na vipodozi, viwanda vya chakula ndio ambayo yanafanya uhitaji wake kua mkubwa. Yako makampuni mengi kama Csi na mengine mengi ambayo yanahitaji mdalasini kutoka Tanzania Kwa bei kubwa kwenda nchi za falme za kiarabu, ulaya, na America lakini upatikanaji wake ni wa chini.

Uhitaji kwenye soko la kimataifa unaongezeka Kwa kasi kwasababu ya matumizi yake kama kiungo cha chakula, dawa chenye antioxidants, ant inflammatory properties, also helping in heart and stroke, blood sugar, diabetes etc.

Kampuni yetu yenye muunganiko na makampuni zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani huwa inapokea oda nyingi za magome ya mdalasini zaidi ya tani 20 Hadi 500 mara Kwa mara lakini tunakosa mdalasini wa kutosha kutimiza oda hizo.

SOKO LAKE KWA TANZANIA

Mdalasini unaozalishwa Tanzania haukidhi kabisa mahitaji ambapo ni kiasi cha asilimia 20 Hadi 28 ya uhitaji hivyo kufanya asilimia kubwa ya mdalasini kuagizwa kutoka nchi za bara la Asia kama India, Vietnam, Malaysia na China.
Baadhi ya wawekezaji kwenye viwanda vya chakula wameonesha nia ya kujenga viwanda Vya kuchakata zao hili lakini ukosefu wa MDALASINI wa kutosha imekua kikwazo.

Licha ya viwanda. Kuna makampuni zaidi ya 100 ambayo yanahitaji zao hili ili kusafirisha kwenda nchi za ulaya, America lakini wanakosa kwasababu ya uzalishaji ni mdogo mnoo!.

Aina ya miche ya mdalasini inayooteshwa na kampuni ni (Cinnamomum verum) picha ziko mwishoni baada ya maelezo.

UZALISHAJI NA MAENEO YANAYOFAA KWA KILIMO HIKI

✓Mdalasini ni jamii ya mti ambao hukua Kwa urefu wa kuanzia Mita 8 Hadi 15 kutegemeana na eneo mmea ulipooteshwa.
✓Hupendelea eneo la wazi kwenye kiasi cha wastani cha jua.
✓huoteshwa kwenye udongo wenye rutuba ya asili na maji ya wastani. Eneo lenye maji mengi au lenye asili ya kutuamisha maji halifai Kwa uzalishaji wa MDALASINI.
✓zao hili halihitaji mbolea wala dawa katika ukanda wa kitropiki kama Tanzania
✓udongo wa tifutifu, kichanga -tifutifu wenye wastani wa unyevu nyevu unafaa saana,
Na maeneo yenye wastani wa mvua wa mm 2000 mpaka mm 2600 Kwa mwaka. Hustawi kwenye mwinuko kuanzia Mita 10 Hadi 1500 kutoka usawa wa bahari na joto kiasi cha wastani wa digrii 27 za sentigredi
✓mmea hustawi au unaweza kustawi kwenye mikoa ya Morogoro, tanga, pwani, mtwara, Lindi, rukwa, tabora, rukwa, tabora, Kagera, mara, (maeneo yanayo zunguka ziwa Viktoria) mbeya, katavi, kigoma na Zanzibar.
✓ ekari moja hupandwa miche 380 mpaka 400

MAVUNO

1. Mdalasini huanza kuvunwa kuanzia umri wa miaka miwili. Jambo zuri ni kuwa, baada ya kuvuna, mmea unachipua tena na huvunwa Kwa mwendelezo Kwa kila baada ya miaka miwili Hadi mitatu mpaka baada ya miaka 30 Hadi 45
2. Majani, na mbegu hutumika kuzalisha mafuta ambayo Yana thamani kubwa. Magome hutumika kutengeneza viungo vya chakula, dawa na hata vipodozi.
3.jinsi mmea unavo kaa shambani miaka mingi ndivo ambavyo thamani yake inapanda kutokana na uwingi wa magome yatakayo patikana, kuongezeka Kwa ladha na harufu nzuri ya magome.
4. Kama ikiwekezwa Kwa miaka kuanzia 8 hutoa mapato makubwa Sana kama ifuatavyo .
Mti mmoja hutoa kilo 40 za magome yaliyo komaa , majani kiasi cha kilo 200 ambayo pia unaweza kuvuna kila mwaka baada ya mwaka wa tatu tangu kupanda, pamoja na mbegu zake.

Kwa idadi ya miti 380 Kwa ekari, kiasi cha magome ni kilo 15200 (tani 15.2).
5. Bei Kwa kilo moja ya magome ya mdalasini ni shilingi za kitanzania 8500/kg (bei ya wanunuzi wa ndani) bei huwa ni 9500/kg Kwa wanunuzi kutoka nje ya nchi ambao ni wengi na wa uhakika.
6. Makadirio ya mapato ghafi Kwa ekari ni shilingi milioni miamoja na ishirini na tisa (129,000,000 Tshs).

Gharama za miche ni shs 2600 Kwa kila mche ambayo huuzwa Kwa oda.

Tunatoa huduma bure (Kwa wateja wa miche) Kwa msaada wa namna ya kuotesha shambani, kuhudumia, kuvuna na MASOKO ambayo yanasuburi Kwa hamu kubwa.

Wasiliana nasi kupata miche Kwa namba
+255762967548
+255699589177
Website: Для просмотра нужно войти или зарегистрироваться
Email. nehemiahedward7@gmail.com
Morogoro mjini, Mjimpya.
 
Mmetoka kwenye vanilla sasa mmehamia kwenye mdalasini?..sawa endeleeni hamuwezi kukosa wajinga wa kuwapiga.

#MaendeleoHayanaChama
 
@ niwe angavu. Ukiwa ufuatiliaji, kila siku duniani kunaibuka mamia ya fursa za uwekezaji na uchumi kutokana na mwenendo wa MASOKO na uhitaji. Sio lazima kuzifanyia kazi kila fursa Ila kuna ambao wanapata mafanikio chanya Kwa kuitikia na kufanyia kazi baadhi ya fursa. NB. Kuwekeza sio lazima Ila ni muhimu kutokana na mfumo WA maisha. Karibu
#Nehemia One Pvt Co Ltd
 
Mmetoka kwenye vanilla sasa mmehamia kwenye mdalasini?..sawa endeleeni hamuwezi kukosa wajinga wa kuwapiga.

#MaendeleoHayanaChama
Labda nikujuze Kwa ufupi kuhusu vanilla pia. Nehemia One tunafanya kazi ya kusambazia viungo vya chakula kwenye MASOKO ya ndani na nje. Tunafahamiana na baadhi ya wakulima na makampuni yanayo nunua zao hili ulilotaja ( ijapokuwa kampuni yetu haijihusishi na uzalishaji wake shambani). Tatizo tunaloliona ni kuwa wakulima wengi wanalilima bila kujua Nani atakuja kununua hivyo wanaangukia kwenye bei za madalali ndio maan linaonekana halina thamani.

Tunalo soko la uhakika la mdalasini. Karibu ukipenda kuwekeza jiwe angavu.
 
cinnamon-plant-500x500.jpg
 
Back
Top Bottom