Msaada: Nataka kuanza kuwa mpenzi wa mpira

Msaada: Nataka kuanza kuwa mpenzi wa mpira

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Tafadhari Shufu Somo Hapo Juu,,
Ktk makuzi yangu, nikiwa mdogo nilikiwa primary nilicheza mpira wa miguu nikiwa back no 2. Baada ya kumaliza primary ckua na hobby kabisa na michezo yoyote. Hata kufatilia malegue yenu sina hobby kabisa
Kutokana na kutokua na hobby ya michezo yoyote ukiachilia ya kwa Bed, nimejishitukia kusongwa na mawazo sana
Ninakua na mistress sana
Hivyo nimeona nianze kufatilia michezo esp Mpira wa Miguu japo niko na 40yrs

Naomba Msaada kujua:-
Niaanze kuwa Mshabiki wa Timu gani kati ya Simba na Yanga?
Katika Timu mtakayo nichagulia, Mchezaji gani bingwa nianze kumzungumzia
Madaraja ndio nini?

NIANZEJE,?
NIANZIE WAPI,?
NIANZE NA NAN,?
NIANZE NINI?
 
Hata huku kuna stress balaa hujasikia mtu kajinyonga kisa mpira

Kama hutaki kufa mapema na stress shabikia simba

Mfuatilie kagere toka alipoanza kucheza na club zote na mpaka sasa alipo hapo utajikuta ushakuwa shabiki tayar automatic
 
[emoji23]Wanaded Kumbe,,[emoji23][emoji23]
Sante Kwa Ushauri
 
chagua ushabikie timu ya wananchi wasomi wazalendo yenye wachezaji vijana iliyoanzishwa na waafrica YANGA au ushabikie timu ya mbu mbu mbu na wachezaji vibabu iliyoanzishwa na wahindi na waarabu vibaraka wa wakoloni SIMBA
 
Kama hautaki presha naomba uanze na kuishabikia Manchester city ila guadiora akiondoka tu na wewe andamana nae mkuu
 
Anza kwanza kwa kwenda kwenye vibanda vya mpira unaangalia kimya kimya bila maneno baada ya muda utaanza kuelewa
 
Waoh, umekuja kipindi kizuri ambapo mnyama ndio bingwa wa nchi tayari, wakati young wao wanakutana diamond jubilee kuombana die tunaenda kupokea
Screenshot_20190522-165313~3.jpeg
 
Mpira ni mzuri timu yako ikiwa inashinda ila pale vichapo vikianza utatamani dunia ipasuke tena hasa ukiwa na marafiki wa timu pinzani utaumia sana siku mkipigwa hata saa ingine demu unaweza ona anakurushia tu. Kisa soka acha kabisaa kaka hii kitu ni ulevi mkubwa mnoo hauachi ukishaanza kama ngada vile
 
chagua ushabikie timu ya wananchi wasomi wazalendo yenye wachezaji vijana iliyoanzishwa na waafrica YANGA au ushabikie timu ya mbu mbu mbu na wachezaji vibabu iliyoanzishwa na wahindi na waarabu vibaraka wa wakoloni SIMBA
Boban, Ngasa ni vjana kabisa tena nasikia wameitwa kikosi cha Serengeti boys [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom