bado sijapata lakini hata u house girl niko tayari, unaweza kunipa chance?Camel ulifanikiwa kupata kazi??hihihiih......Acheni hayo mambo nyinyi nani aliwaambia kwamba mapenzi yana ukubwa!!binti wa miaka 16 ni mtoto??
mbaya zaidi kuna thread moja hapa ya yule aliyekuwa anaomba ushauri kwamba anakuwa blackmailed na dadapoa, fiksman kasema hata yeye huwa anatumia hizo huduma sasa mtu kama huyu kwa binti wa 16yrs hamuoni kama ni hatari? na wanaosema 16yrs si mtoto sielewi wana definiton gani coz ni teenage age na ni mtoto ambaye bado hana maamuzi yake mwenyewe ndo maana anaishi bado na wazazi na yuko shule, so kama mtu akitoka maziwa tu siku hizi mnaona kashakua shauri zenu maana hata 9yers siku hizi wana maziwa.Vipi unachukua ule msemo wa "mtoto wa mwenzio ni mtu mzima mwenzako" bado ni mdogo hatuwezi kukataa hilo, na kama sikosei sheria ilibadilishwa that kama binti yuko chini ya miaka 18 ukifanya naye tendo la ndoa hata kama ni kwa ridhaa yake inachukuliwa kama rape.
Plus toka naanza kusoma thread hii nime-note kuwa mshikaji jina lake ni FIKSIMAN nashukuru kuwa katikati nimekuta Mbu nae ame-note kitu hicho. Naona mshikaji anatupa fiksi tu hapa kakosa cha ku-post so akaona asafishe kinywa na post hii. Kwani ukisoma vizuri haombi ushauri. Anajua mpaka nini anataka useme ukisema vinginevyo anaponda so sidhani kama mshikaji anaomba ushauri hapa.
Na kwa wale wanaomuunga mkono, it is very sad. Kesho inaweza kuwa mtu wako wa karibu ndugu yako au mtoto wako "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" hii ni kwa hata wewe FIKSIMAN
Unajua maana yake hapo nilipoweka maneno mekundu??au umewahi kumuona huyo mtu??Sidhani kama ni vizuri kumdharau binadamu mwenzio.......Hamna kosa kumchungua mtoto wa miaka 16 kwani alishasema anataka kumpa kama 2 so baada ya hiyo miaka 2 huyo demu atakuwa na age gani??
Duu wabongo ndio maana hatuendelei kumbe...I mean yaani mtu akisema tu kwamba anaomba ushauri wa mapenzi na mtu fulani ana maanisha kwamba straight away anataka atembee nae kimapenzi au inakuwaje hapo nyamayao??Tusifikilie vitu vya mbali tujaribu kuangalia sasa hivi hata huyo jamaa yupo katika sehemu gani???
Vipi unachukua ule msemo wa "mtoto wa mwenzio ni mtu mzima mwenzako" bado ni mdogo hatuwezi kukataa hilo, na kama sikosei sheria ilibadilishwa that kama binti yuko chini ya miaka 18 ukifanya naye tendo la ndoa hata kama ni kwa ridhaa yake inachukuliwa kama rape.
Plus toka naanza kusoma thread hii nime-note kuwa mshikaji jina lake ni FIKSIMAN nashukuru kuwa katikati nimekuta Mbu nae ame-note kitu hicho. Naona mshikaji anatupa fiksi tu hapa kakosa cha ku-post so akaona asafishe kinywa na post hii. Kwani ukisoma vizuri haombi ushauri. Anajua mpaka nini anataka useme ukisema vinginevyo anaponda so sidhani kama mshikaji anaomba ushauri hapa.
Na kwa wale wanaomuunga mkono, it is very sad. Kesho inaweza kuwa mtu wako wa karibu ndugu yako au mtoto wako "WHAT GOES AROUND COMES AROUND" hii ni kwa hata wewe FIKSIMAN
mbaya zaidi kuna thread moja hapa ya yule aliyekuwa anaomba ushauri kwamba anakuwa blackmailed na dadapoa, fiksman kasema hata yeye huwa anatumia hizo huduma sasa mtu kama huyu kwa binti wa 16yrs hamuoni kama ni hatari? na wanaosema 16yrs si mtoto sielewi wana definiton gani coz ni teenage age na ni mtoto ambaye bado hana maamuzi yake mwenyewe ndo maana anaishi bado na wazazi na yuko shule, so kama mtu akitoka maziwa tu siku hizi mnaona kashakua shauri zenu maana hata 9yers siku hizi wana maziwa.
Tatizo unachukulia Binafsi sana (u take it personal) kitu cha msingi hapa ni namna ya kumlinda asome kwa amani bila kupoteza muelekeo...na mimi kwa elimu yangu ya vidigrii hivi viwili siwezi kumharibia masomo au maisha kwa makusudi tena huyu binti anabahati kampata mtu naemjali kwa dhati lakini pia yuko aware na hali halisi ya maisha.
Ukianza hadithi za kusema eti wewe mwenzio kajisaidia pembeni na wewe utamuiga unakosea kabisa. Dunia ya sasa imebadilika hatma ya maisha ya watoto wa kike wengi iko mikononi mwa watu kama sisi, tukiamua kuwaharibu tunaweza na tukiwaamua kuwalinda pia inawezekana lakini wao wenyewe wameshapinda muda mrefu sana. Wewe fanya utafiti kwa hako kabinti kako tena usije kupasuka utakapogundua anatoka na Kibabu sembuse mtu kama mie.
mie ndo nashangaa sana wanaposema 16 yrs kakubwa, kana ukubwa gani, wengine waseme akiwahi kumega ili acmegwe na makonda wa mbagala....oooh no ushauri mwingine ni wa kijiweni sana, na akishakiweka karibu chochote kinaweza tokea wakashawishika wa namna moja au nyingine wakafanya hayo mapenzi, eti atamsubiri 2 yrs, sasa kama lengo lake ni kumsubiri angensubiri kimya kimya bila kutaka ushauri mana alishajiamulia kumsubiri.....nonsense.

thnx so much kaka/dada......khaa.
[/COLOR] Wala sio mtoto, ila anatakiwa kuwa skul kwenye huo umri. Cha msingi Fiskman kakubali kumsubiria hadi hapo atakapohitimu masomo yake. ILa asije kula tunda tu kwa sasa, maana ataharibu mwelekeo wa elimu wa binti.
Huu ndo ushauri wa kuangalia kwa karibu upo hapo nyama yao, camel na jopo lako...najua kukaa miaka miwili bila hii kitu ni sawa na kufunga siku 40 bila kula....nitumie njia gani kutimiza lengo langu? Mnajua sio kama naponda ushauri unalenga kunikatisha tamaa ila moyo wangu unapenda kusikia maneno ya kutia imani maana nampenda wadau wakati mwingine ukipenda hata ndugu unaweza kumkana ila naendelea kuwashukuru kwa michango yenu yote japo kuna baadhi yenu mmelenga kupotosha ukweli...am not dangerous man for her trust me.
Nilijua wanaharakati wanishukia humu ndani...mnaishi wapi nyie mnaojifanya hamjui ukweli wa mambo? that gal came to me and am asking if it is okay to go out with coz i know kama kaweza kuja kwangu then hata shindwa kwenda kwingine...je unadhani wote tunaweza kuomba ushauri kama hivi....na nyie mnafikiri hizi ni fiksi sijawalazimisha kuamini ila habari ndo hiyo.
...nyamayao smtetei sana fiksiman ila kuna 16yrs old wengine wakuza kama makuku ya taa... we angalia mwenyewe (16yrs Old) Mayara Tavares kabinti maridhawa toka Brazil kalivyowatoa macho marais wawili wa dola kubwa duniani...

Tumesikia hii misemo mara nyingi sana, wanaume nyinyi huwa si wa kweli hata mkiachwa huwa mnasema nyinyi ndio mmeacha.
Kubali tu ulikafuata haka ka-binti baada ya kuona watu wamekuvamia huku ndio umebadili na kusema kalikufuata. Kama ni kweli kwanini hukusema haya toka mwanzo? Usijisafi kwa kutumia mgongo wa mwenzio. NI TABIA MBAYA
Ngoja nikupashe, hadi muda huu hakuna aliyenishawishi kuwa hako kabinti hakajafikia wakati wa kumjua mwanaume sana sana ni maoni ya watu waoga kutambua ukweli wa mambo ambao serikali miaka 30 iliyopita walikubaliana si tu msichana wa miaka kumi na sita mkubwa kumegwa lakini hata kuendesha familia anafaa. Sheria ya ndo, ajira na hata dini nyingi zimeweka bayana wakati mtu anapaswa kuanza kula au kuliwa vitu. Nakumbuka mwalimu wangu wa bailojia aliwahi kugusia kuwa uukianza kupata hisia fulani basi ujue ushakua.
Tunamezea kwasababu ya kuheshimiana tu hasa wanatupa pesa wametulazimisha kuamini hivyo. Bila shaka, wengi wanajaribu kuniponda humu ndani japo wanaita ushauri ni wadada au ni watu walionje ya Maisha halisi ya mtanzania....hawa hata NJAA huijua wakati wa mfungo au kwaresma. Ongeeni kwanza na watoto wenu kuhusu mabadiliko yatakayo wakuta na wajizuie vipi maana wanatega sana........suala la wanaopenda ngono hawana cha kufanya sina hakika na utafiti wako ila nachojua kIla kitu ni maamuzi na sina sababu ya kufa kiu penye MAJI.