sas na wewe umekuja hapa kupata approval au kuomba ushauri? inakuwaje watu wanaokushauri othrwise unawapaka na wale wanaokubaliana na ufirauni wako ndo unawasifia. You came here with your mind already set so you are just enjoying us. Lkini nachosema mimi hata nikibaki peke yangu, i am against this, wazee wenzio kibao huko tena wako very desperate for marriage if thats what you really want, eti kwa vile bikra, we mwenyewe hiyo bikra unayo au ushakuwa used vya kutosha lakini unataka brand new? Halafu kuna watu wazima humu wenye familia zao wanakuunga mkono, badala ya kurekebisha mapungufu yalioko kwenye jamii yetu na magonjwa yote haya yunazidi ku encourage watu kama hawa kwenye kuharibu mabinti zetu. tena nionavyo mimi binti kama kajitahidi kuwa bikra hata sasa anaweza kuendelea kujitunza zaidi kama watu kama hawa wasipotokea na kujifanya wanawashawishi kwa ndoa. i hope you will feel it when you are a parent yoursel, wanasema malipo ni hapa hapa, and what goes around comes around.