Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...

Msaada: Nataka kuanza uhusiano na kasichana nimekazidi miaka 10...

Mkuu Mbu, unamuamini huyu kwamba atampa miaka miwili ya "kukua"? Hiyo miaka miwili badala ya kusubiri kwa nini asiende kutafuta rika lake!? Unadhani kweli atasubiri miaka miwili ya ukame mkali huku ana kabinti ambako ni bikra bila kutafuta njia za kukarubuni akaingilie ili wakware wenzie wasimzidi speed!?

...jina lake fiksiman, lakini bado jina halijanirubuni kutokumuamini kila anachokisema, unaona pale anaposema binti mwenyewe yupo tayari 'kujitoa mhanga' , lakini jamaa yetu hapa kwa busara zake anasema kaamua kumpa miaka miwili,... sina shaka hapo.
 
Sijawahi kulelewa mie.

Dah, umekosa mengi, na itakuwa vigumu kuelewa kwa nini tunamshauri komredi fiksiman amlee lee kidogo akue.....angalia usija kuwa kama the curious case of Benjamin Botton lol
 
...naaam bro,

nimeyatafakari yote hayo ndugu yangu ila majority ya 16yrs old wetu wa Tz wanapoteza 'muelekeo' kwenye umri huo, hasa wale ambao wazazi wao hawana uwezo ki hivyo, ama?

ahaaa! Mkuu Mbu, kumbe kama binti ni 16 na anatoka katika familia hohe hahe basi ni ruhusa jamaa kuendelea naye!? Kumbuka anaweza akawa anatoka katika familia hohe hahe lakini kichwani zinafanya kazi vizuri sana na hivyo ana future nzuri katika maisha yake kama akiweka mkazo kwenye masomo kuliko kupoteza wakati wake na huyu Mkware. Kwa maoni yangu wanaume watu wazima wasiwe na mawasiliano yoyote yale na binti kama ni 16 YO bila kujali kama anatoka katika familia yenye uwezo wa kumsomesha au la.
 
Dah, umekosa mengi, na itakuwa vigumu kuelewa kwa nini tunamshauri komredi fiksiman amlee lee kidogo akue.....angalia usija kuwa kama the curious case of Benjamin Botton lol

mhhh!! Mie naona nimeepuka mengi.
 
Amin,ukubwani utagundua uliyakosa, na utayarudia tu,,

Umenikumbusha mbali sana mwana, hao watoto wa geti kali mboga nane wanaweza wasikuelewa. We angalia wazee wengi hasa kule visiwani wanavyotunzika na vibinti vidogo.
 
...lol, mkuu Bak... fiksiman alitumegea huko nyuma kwamba atampa miaka miwili angalau kakue kidogo...au?

Unajua Mbu wewe ni kichwa sana hawakukosea kukupa ukiranja katika jukwaa hili. Kuna watu kama BAK wanajifanya innocent mi nasema HATUDANGANYIKI.
 
hako kabinti mkuu fiksiman KANAKUFAA,hofu yangu kanaweza kuwa KAMEKUZIDI!(hili ni kwa uzoefu wa practical life ya bongo)

we nenda nako mdogo mdogo!kaombe mchezo kabisaa ili ujue ni kadogo au kakubwa,then njoo na findings zako hapa tukushauri

Umesomeka mkuru hayo ndo maneno ya kumshauri mwanaume mwenzio...tuko pamoja jumuiya
 
Unajua Mbu wewe ni kichwa sana hawakukosea kukupa ukiranja katika jukwaa hili. Kuna watu kama BAK wanajifanya innocent mi nasema HATUDANGANYIKI.


Ha ha ha ha lini nilijifanya mimi ni innocent!? Kama mwanadamu yeyote yule mimi siko perfect lakini najua mipaka yangu inapokuja kwenye mabinti ambao bado wako shule. Kama unaona mtu kukuruhusu wewe uvinjari na kabinti ka miaka 16 ni kichwa basi una matatizo makubwa sana.

Mtaani raha sana, wewe kama unataka kuozea Keko basi endelea tu kukafuatilia hako kabinti, labda utakuja kuyakumbuka maneno yangu. Na hapo itakuwa too late kuweza kugeuza kibao na hivyo kubaki na majuto mjukuu. Asiyesikia la Mkuu...
 
You want JF members to help you sleeping with a 16 years old!? Ha ha ha ha ha Mtu Mzima hovyooooo! nadhani una walakini kichwani mpaka kuja kuomba msaada hapa ili kuendeleza ukware wako wa kutembea na vibinti ambavyo ni under age.


Mkubwa hapa sisapo kabisa...Tujaribu kuichambua mada ya mdau aliyetoa kabla ya kuanza kumuhukumu......Kwanza sijaona mahali alipoandika kwamba anataka ushauri wa kulala nae...Na pia na yeye najuwa ana akili timamu hawezi kuja hapa kuomba ushauri kama huo...So tujaribu kutoa ushauri kwa kile alichoandika sio tunachojiamulia kusema wakati mwenyewe hajasema.........Pamoja
 
Hivi ina maana mwanafunzi akisoma haruhusiwi kuwa na mwanaume???Fiksman kaka hifadhi mzigo wako...........Naamin fiksman unajuwa unachokifanya na kama mtoto katulia na mmependana mpe time ya kusoma na mambo unatonesha kidogo kidogo,,,,,,,,,,Miaka 16 kwa sasa hivi sio mtoto kama anavyotetea BAK.........
 
nakwambia BAK watu wengine sasa hili pia ni la kujadiliwa??? sasa yeye ndiye angekatia kibao akikarudisha hiyo form2, watoto nao ukware ati yuko tayari kumpa ubikra! masikitiko!
Inawezekana kabisa hilo la kumpa bikra jamaa kaongezea tu.
 
We una ambiwa kuna bikira bado unakuja kuomba ushauri? Nadhani kwanza utakuja na report kwamba viongozi wangu tayari nimeisha mega! Hizi bahati watu wanasotea hawazipati eeh!
 
yor not serious man, labda kama unapenda maisha yako yaliyobaki ukayamalizie jela, hivi ndg husikii hizi kelele zinazopigwa siku hizi kuhusu wanafunzi? wewe ni Fataki kabisa na umekarubuni katoto ka watu eti wataka kukaoa, sasa unafikiri katasoma hako au mawazo yake yote ni kwamba hata nikifeli si nitaolewa? Hebu mpe nafasi na yeye aweze kupata elimu yake mkuu
 
ukitwambia una miaka mingapi ili tujaribu kufanya calculation
kama una 30 binti 20 hakuna noma lakini kama una 24 binti 14 aaah hapa ...............
 
Mapenzi hayana umri, ni utashi wako kuangalia na kuchagua kwa makini. Mke wa kuoa hachaguliwi kwa kuangalia umri. Kama una uhakika kuwa hauvunji sheria za nchi, nakushauli uendelee.
 
ukitwambia una miaka mingapi ili tujaribu kufanya calculation
kama una 30 binti 20 hakuna noma lakini kama una 24 binti 14 aaah hapa ...............
kashasema binti ana 16 yrs na kwamba yeye kamzidi 10 years, which means ana 26 years. mi nadani huyo bint bado mdogo na anatakiwa aachwe aconcetrate na masomo, mambo ya kuanza kumshawishi eti nataka kukuoa sijui nini huyu jamaa aache, unaweza kuta anataka kumchokonoa na kumwaga. ashindweeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom