Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Mkuu Mbu, unamuamini huyu kwamba atampa miaka miwili ya "kukua"? Hiyo miaka miwili badala ya kusubiri kwa nini asiende kutafuta rika lake!? Unadhani kweli atasubiri miaka miwili ya ukame mkali huku ana kabinti ambako ni bikra bila kutafuta njia za kukarubuni akaingilie ili wakware wenzie wasimzidi speed!?
...jina lake fiksiman, lakini bado jina halijanirubuni kutokumuamini kila anachokisema, unaona pale anaposema binti mwenyewe yupo tayari 'kujitoa mhanga' , lakini jamaa yetu hapa kwa busara zake anasema kaamua kumpa miaka miwili,... sina shaka hapo.